
Soko la utalii lapigwa jeki kutokana na wawekezaji wa Kiarabu kutua nchini
Na WINNIE ATIENO BODI ya Utalii nchini (KTB) na wawekezaji katika sekta ya utalii kutoka mataifa ya Kiarabu wameungana kupiga jeki soko la Kenya la utalii. Wadau hao walisema ndege ya moja kwa moja kutoka Mombasa hadi Dubai itaendelea kukuza utalii katika nchi za Kiarabu. Mwaka jana serikali ilianzisha ndege ya moja kwa moja kutoka […]















































