PAUKWA: Ujanja wanusuru Msanii asifutwe kazi na Kaburu

NA ENOCK NYARIKI JIONI watalii na waelekezi wao walirejea vilipokuwa vyumba vya kupanga. Juma, mkuu wa Idara ya Parachuti, aliondoka moja kwa moja kuenda kumwona Bwana Kaburu. Ofisi ya Bwana Kaburu ilikuwa katika Idara ya Upangaji zilipokuwa pia ofisi nyingi za wakuu wa idara mbalimbali mbugani. Juma, alizungusha kitasa cha mlango wa ofisi ya bosi […]