MKUU wa WIilaya ya Mbogwe, Sakina Mohamed amekusanya jumla ya Sh milioni 20 kwa ajilii ya ujenzi ya ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani humo. Sakina amekusanya fedha hizo leo Desemba 9,2023 katika harambee aliyoiendesha kwa wadau wa chama hicho. Akizungumza Sakina amesema atasimama imara kuhakikisha CCM wilayani Mbogwe inakamilisha ujenzi wa ofisi yake. …
The post Sh milioni 20 kujenga ofisi ya CCM Mbogwe first appeared on HabariLeo.
25 minutes ago
1 hour ago
1 hour ago
3 hours ago
4 hours ago
4 hours ago
4 hours ago
4 hours ago
4 hours ago
MOROCCO: Wawakilishi wengine wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba watatupa karata yao muhimu usiku wa leo nchini Morocco dhidi ya Wydad Casablanca. Mchezo huo ni watatu kwa timu zote mbili huku kila upande ukitafuta pakutokea kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika michezo miwili iliyopita, ambapo bado timu hizo hazijaonja ladha ya ushindi …
The post Wydad Vs Simba hesabu ngumu first appeared on HabariLeo.
4 hours ago
5 hours ago
5 hours ago
DODOMA: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini leo Desemba 9, 2023 amewakilisha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuungana na Rais Samia Suluhu Hassan kuadhimisha Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Maadhimisho hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convertion Centre Jijini Dodoma yameudhuriwa na Viongozi mbalimbali …
The post Sagini awakilisha wizara maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru first appeared on HabariLeo.
5 hours ago
MANYARA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama ametoa wito kwa kamati za maafa za mikoa na wilaya nchini kote hasa kwa mikoa 14 iliyofanyiwa utabiri wa mvua za Elnino kujipanga kwa kuzingatia maelekezo waliyopewa kwani ni jukumu lao kutoa huduma ya haraka maafa yanapotokea. Amezungumza hayo wakati wa …
The post Kamati za maafa mikoa, wilaya jipangeni na ELNINO first appeared on HabariLeo.
6 hours ago
6 hours ago
6 hours ago
DODOMA: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amewataka watendaji wa madawati ya jinsia ndani ya Jeshi la Polisi nchini kujiepusha na tabia za utoaji wa siri za waliopitia vitendo vya ukatili wa kijinsia hali inayosababisha Wananchi kushindwa kutoa taarifa za ukatili. Naibu Waziri Sagini alisema hayo jijini Dodoma wakati akifungua kikao …
The post Sagini: Watendaji madawati ya jinsia tunzeni siri first appeared on HabariLeo.
7 hours ago
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema taifa linapaswa kuwa na jamii yenye ujasiri inayoweza kuhoji watu wanaojipatia mali zisizo na maelezo nazo. Rais amesema hayo leo alipohutubia maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na mchakato wa ukusanyaji maoni kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete …
The post Tunahitaji jamii inayochukia rushwa- Samia first appeared on HabariLeo.
7 hours ago
RAIS Samia Suluhu amewataka Wananchi wote pamoja na wale wanaoishi Ughaibuni (DIASPORA) kushiriki kikamilifu katika uandishi wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050. Kiongozi huyo wa nchi amesema hayo leo katika sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na mkutano wa kwanza wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi …
The post Diaspora kushiriki maoni Dira ya Maendeleo 2050 first appeared on HabariLeo.
7 hours ago
RAIS Samia Saluhu amesema mafaniko ya Tanzania yametokana na maono ya viongozi waliomtangulia. Rais Samia amesema hayo leo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa kwanza wa itaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete. Amewataja viongozi hao kuwa Hayati Mwalimu …
The post Samia: Mafanikio Tanzania ni maono walionitangulia first appeared on HabariLeo.
7 hours ago
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo katika taarifa yake ameeleza Watanzania 34.4 hadi sasa wanatumia huduma ya Intaneti. Mkumbo ametoa takwimu hizo leo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na mkutano wa kwanza wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika …
The post Watumiaji Intaneti wafikia milioni 34 first appeared on HabariLeo.
7 hours ago
7 hours ago
8 hours ago
8 hours ago
8 hours ago
8 hours ago
KAMPUNI ya Startimes Media imetambulisha zawadi ya gari aina ya Mercedes Benz yenye thamani ya Sh milioni 20 itakayotolewa kwa mshindi wa shindano la bingwa msimu wa pili katika fainali itakayofanyika wiki ijayo. Shindano la bingwa msimu wa pili lilizinduliwa Julai mwaka huu na kushirikisha washiriki 24 ambao ni maarufu mitandaoni waliokaa katika jumba moja …
The post Mshindi bingwa msimu wa pili kubeba Benz first appeared on HabariLeo.
8 hours ago
8 hours ago
8 hours ago
9 hours ago
9 hours ago
9 hours ago
KIGOMA: Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kuunga mkono maelekezo ya Rais, Samia Suluhu Hassan kwa serikali za mikoa na wilaya kushirikiana na wafanyabiashara wadogo maarufu machinga kwa kuwatengea maeneo ambayo yataruhusu kufanya biashara zao kwa tija. Mkuu wa mkoa Kigoma,Thobias Andengenye amesema hayo alipokutana na viongozi wa shirikisho la machinga Mkoa wa Kigoma (SHIUMA) ili kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na namna …
The post Andengenye aahidi Neema kwa Machinga first appeared on HabariLeo.
9 hours ago
DAR ES SALAAM: HATIMAYE daraja la Mto Mpiji ambalo ni mpaka wa Bagamoyo Pwani na Dar es Salaam lililokuwa limefungwa kwa muda ili kupisha ujenzi baada ya kuwa hatarini kukatika kutokana na mvua zinazonyesha limefunguliwa upande mmoja kuruhusu magari kupita. Jana usiku Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekesha katika eneo hilo …
The post Daraja la Mpiji lafunguliwa upande mmoja first appeared on HabariLeo.
9 hours ago
10 hours ago
10 hours ago
10 hours ago
10 hours ago
10 hours ago
10 hours ago
10 hours ago
10 hours ago
10 hours ago
MATAIFA ya Zimbabwe na Botswana yanafanyia kazi mpango wa kufuta mahitaji ya hati ya kusafiria ‘pasipoti’ kwa raia wa nchi zingine. Hatua hiyo ni katika kuungana na baadhi ya nchi Afrika kupunguza vizuizi vya kuingia wageni kutoka katika baadhi ya nchi. “Sisi wawili tumekubaliana kwa sababu sisi ni Waafrika. Tunapaswa kuingia Botswana, kuingia Zambia, kuingia …
The post Zimbabwe, Botswana kusafiri bila pasipoti first appeared on HabariLeo.
10 hours ago
LIGI Kuu nchini England ‘EPL’ inaendelea leo kwa michezo kadhaa, mchezo wa mapema utakuwa kati ya Crystal Palace dhidi ya Liverpool saa 9:45 Alasiri. Michezo mingine itayopigwa saa 12 jioni, Brighton dhidi ya Burnley, Manchester United itakuwa Old Trafford kuwaalika Bournemouth, Sheffield United dhidi ya Brentford. Mchezo mwingine utakaopigwa muda huo, Wolver dhidi ya Notts …
The post EPL kuendelea leo first appeared on HabariLeo.
10 hours ago
MWANZA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mwanamke mmoja, Mariam Jeremia kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa kike, Odeta Julius ambaye kwa wakati anaibiwa alikua na umri wa miaka mitano. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, Wilbrod Mutafungwa amesema tukio hilo liliripotiwa katika kituo cha Polisi Kirumba …
The post Mfanyakazi wa ndani mbaroni kwa wizi wa mtoto wa miaka 5 first appeared on HabariLeo.
10 hours ago
10 hours ago
KAMPUNI ya Diamond Williamson Ltd inayojishughulisha na uchimbaji wa madini ya almas iliyopo Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, wamepandikiza vifaranga 5000 vya samaki aina ya Sato katika bwawa jipya la Mwang’olo ili kuinua kipato cha wananchi na chakula. Upandikizaji wa vifaranga vya samaki aina hiyo limefanyika jana tarehe 8,2023 kwa kuzinduliwa na Katibu Tawala wa …
The post Kampuni uchimbaji madini yapandikiza vifaranga vya samaki first appeared on HabariLeo.
10 hours ago
UJERUMANI: Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani ,Frank Walter Steinmeier amesema Serikali yake itaendelea kuunga mkono jitihada za maendeleo nchini Tanzania zinazotekelezwa na Serikali inayoongozwa na Rais, Samia Suluhu Hassan. Ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya kupokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani , Hassani Iddi Mwamweta kwenye Ikulu ya …
The post Ujerumani yatoa neno ushirikiano na Tanzania first appeared on HabariLeo.
10 hours ago