Chuo cha MKU-Rwanda chazindua kitabu kinachochora picha halisi ya masomo ya kazi za hotelini

Taifa Leo
Published: Feb 13, 2023 09:44:49 EAT   |  Travel

NA LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya nchini Rwanda (MKU-Rwanda) kimeandika kitabu kipya kuhusu masomo yanayohusu hoteli na ambayo yanapatikana katika chuo hicho. Alhasili, kitabu hicho ni wasifu na kinaeleza mengi kuhusu kitengo cha chuo hicho kilipobuniwa mwaka wa 2010 nchini Rwanda. Kitabu hicho cha kipekee na chenye anwani ‘Mlima waungana na nchi yenye milima […]