UJASIRIAMALI: Alitalii, akapata wazo la kuuza utalii na hajuti

NA PETER CHANGTOEK SASHA Seraphine Mbote alijiuzulu kutoka kwa kazi aliyokuwa akifanya kama meneja wa ‘Spa’ na kuanzisha kampuni yake ya utalii nchini Zanzibar, mnamo 2015. Wazo la kuianzisha kampuni yake ya Maridadi Tours lilimjia akilini baada ya kutalii mno maeneo tofauti. Baada ya kutalii, alikuwa akipakia picha za safari hizo mitandaoni, na wengi wakaanza […]