KASHESHE: Elba aipa shavu KE

Taifa Leo
Published: Jan 27, 2023 14:43:09 EAT   |  Travel

NA SINDA MATIKO MWIGIZAJI staa Idris Elba ameipa shavu Kenya, akiitaja kuwa moja kati ya sehemu anazozizimia. Kwenye mahojiano yake na toleo jipya la jarida la Forbes, Elba aliisifia Kenya kuwa nchi bora zaidi Afrika iliyombamba. “Kenya ni moja kati ya sehemu bomba sana tulizowahi kutalii mimi na mke wangu. Kule ninaweza kusema ni kama […]