Wawekezaji walia ‘mabeach boys’ wanakera watalii

Taifa Leo
Published: Feb 28, 2023 12:51:45 EAT   |  Travel

NA MAUREEN ONGALA WAWEKEZAJI katika hoteli za kifahari wamelalamika kuwa vijana wa kuwatembeza watalii fuoni almaarufu beach boys wamekuwa kero kubwa katika sekta ya utalii. Katika fuo nyingi za Pwani ambazo huvutia watalii wengi, vijana wengi wanaojitokeza kufanya shughuli hiyo hujitahidi kuanzisha urafiki na watalii hao ila mwishowe huanza kuombaomba pesa huku wengine wakituamai kufikishwa […]