Ugaidi watishia tena juhudi za kufufua utalii kisiwani Lamu

KALUME KAZUNGU NA VALENTINE OBARA MATUMAINI ya serikali ya Kaunti ya Lamu kuimarisha utalii eneo hilo yametiwa doa na mashambulio ya kigaidi yaliyochipuka upya wiki chache zilizopita. Tangu mwaka 2022, serikali ya kaunti hiyo ilikuwa imerejelea maandalizi ya tamasha na hafla mbalimbali za kusisimua watalii. Hata hivyo, baada ya utulivu wa muda mrefu, mashambulio yalianza […]