NA MERCY KOSKEI SERIKALI ya Kaunti ya Nakuru imetoa ilani ya siku 21 kuzika miili 17 iliyohifadhiwa katika Hifadhi ya Hospitali ya Rufaa ya Nakuru kwa muda mrefu. Katika barua iliyotumwa kwa Kamishna wa Kaunti na wasimamizi wa hospitali hiyo, kupitia afisa Mkuu wa Afya ya Umma Bi Florence Basweti, ilisema kuwa miili hiyo imesalia […]