MAANDAMANO: Raila ahutubia wafuasi Eastleigh, raia waliochoshwa na ugumu wa maisha wamshangilia

Taifa Leo
Published: Mar 20, 2023 12:42:21 EAT   |  Travel

NA MWANDISHI WETU KIONGOZI wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga ameingia jijini kwa kishindo huku waandamanaji wakimshangilia. Msafara wake umeanzia katika hoteli ya Serena na amefululiza hadi katika mtaa wa Eastleigh. Akihutubia wafuasi wa Azimio saa tisa, Raila amesema maandamano yatakuwa yakifanyika kila Jumatatu. Amesema ni lazima serikali itimize ahadi zake na ishushe gharama […]