NA WINNIE ATIENO WASIMAMIZI wa bustani ya Mama Ngina iliyojengwa kwa Sh460 milioni ili kuvutia watalii wa kimataifa wameeleza Bunge la Kitaifa namna watalii wa humu nchini walivyogeuza kivutio hicho cha watalii kuwa danguro. Msimamizi wa bustani hiyo Bw Ali Noor alisema licha ya serikali ya kitaifa kugharimika kujenga kivutio hicho cha watalii, Wakenya wameigeuza […]