SportsAfter withdrawing from UN race, Sall seeks power at home
Sall himself is ineligible to contest for Presidency but can be kingmaker.
Category
Match reports, transfers and results from East African football and leagues worldwide, plus athletics, basketball and the biggest stories in global sport.

ZANZIBAR: ZANZIBAR’S Chief Mufti, Sheikh Saleh Omar Kaabi, has appointed leaders and members of the Sixth Council of Ulamaa, completing the composition of the islands’ principal body responsible for providing Islamic religious guidance. According to a statement from the Office of the Chief Mufti of Zanzibar, the council will be chaired by Sheikh Kaabi and…

DAR ES SALAAM; Watanzania wametakiwa kuweka utamaduni wa kujiwekea akiba ili ziweze kuwasaidua siku za usoni. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa na Biashara za Kiserikali wa Benki ya Azania, Samson Mahimbi wakati akizindua kampeni ya Piga Ndeefu yenye lengo la kuchochea shughuli za kiuchumi kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa…

Manchester United captain Bruno Fernandes criticised manager Michael Carrick's tactics following the humiliating 4-1 Champions League defeat at Como.

Arsenal coach Mikel Arteta said the club was "concerned" about the severity of an injury to winger Bukayo Saka after Wednesday's pulsating 2-2 Champions League draw at Bayern Munich.

Real Madrid claimed a third Champions League victory in as many games by thrashing RB Leipzig 4-1 on Wednesday, with Kylian Mbappe and Yan Diomande among the goals for Jose Mourinho's side.

Declan Rice scored a late equaliser as last season's runners-up Arsenal drew 2-2 away to Bayern Munich in the Champions League on Wednesday.

Manchester United captain Bruno Fernandes said his side lacked belief as their woes continued with a humiliating 4-1 Champions League defeat at Como on Wednesday.

Manchester United's struggles deepened with a dismal 4-1 Champions League defeat at Como on Wednesday, piling further pressure on under-fire manager Michael Carrick.

Sall himself is ineligible to contest for Presidency but can be kingmaker.

Yanga imeandika historia ya kufuzu hatua ya makundi kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuitandika CFFA ya Madagascar kwa mabao 4-1 katika mechi iliyochezwa leo Jumatano, Oktoba 21, 2026 katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi.

By Folarin Kehinde The National Biosafety Management Agency (NBMA) has offered to deploy its biosafety experts to support the Nigeria Centre for Disease Control and Prevention (NCDC) and other relevant response teams following the reported confirmation of an imported case of Ebola Virus Disease (EVD) in the Federal Capital Territory (FCT). The Director-General and Chief […]

Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Doumbia, amefungua ukurasa wa mabao baada ya kufunga mawili kwenye mechi dhidi ya 15 de Agosto.

Baada ya kucheza mechi 11 mfululizo za Simba bila kufunga bao, mshambuliaji Ibrahim Doumbia amemaliza ukame wa mabao baada ya kuifungia mabao mawili timu hiyo leo Jumatano, Oktoba 21, 2026 katika mechi ya raundi ya pili ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya 15 de Agosto kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

By John Alechenu ABUJA — Citizens Advocacy for Social and Economic Rights (CASER) has petitioned the Independent Corrupt Practices and Other Related Offences Commission (ICPC) over the alleged deployment of federal officials and security personnel to plots in the Maiyegun Tourism Zone, Lekki, Lagos State. The petition, dated October 14, 2026, was acknowledged by the […]

DAR ES SALAAM: Azania Bank PLC has officially launched PIGA NDEEFU, a savings campaign aimed at encouraging a stronger savings culture while enhancing the Bank’s capacity to finance businesses across key sectors ahead of AFCON 2027, to be co-hosted by Tanzania, Kenya and Uganda. Speaking at the launch, Samson Mahimbi, Head of Corporate and Government…




TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imepanda kwa nafasi 11 katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mwezi Oktoba.

GEITA Gold imeanza kutafuta suluhisho la mwenendo usioridhisha wa timu hiyo baada ya uongozi kufanya vikao viwili tofauti na makocha pamoja na wachezaji, ukitaka kubaini chanzo cha matokeo yasiyoridhisha katika mechi za hivi karibuni.

BEKI wa Namungo, Hance Masoud anaamini timu hiyo itavuna pointi sita katika michezo miwili ijayo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union na Polisi Tanzania nyumbani.

Barcelona midfielder Dani Olmo will miss Sunday's Clasico in La Liga against Real Madrid after being ruled out for around a month through injury on Wednesday.

VIJANA wanne wamechaguliwa na kupelekwa nchini Spain kwa ajili ya kuendelezwa kisoka baada ya kuonesha vipaji katika mashindano ya Kiruswa Jimbo Cup yaliyofanyika wilayani Longido, Mkoa wa Arusha. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Longido, Dkt Stephen Kiruswa, kabla ya mchezo wa fainali ya mashindano hayo kati ya Mairowa FC na…

The Ligue 1 match between Toulouse and Troyes this weekend has has pushed back a day at the request of local authorities struggling to contain unrest in France, the French league (LFP) announced on Wednesday.

Barcelona winger Lamine Yamal has been ranked sixth among the world’s highest-paid footballers in 2026, with estimated earnings of $55 million, according to Forbes.

The Ligue 1 match between Toulouse and Troyes this weekend has been pushed back a day at the request of local authorities struggling to contain unrest in France, the French league (LFP) announced on Wednesday.

UTANGULIZI Katika ramani ya kubuni ya Afrika kuna nchi moja iliyoko katika pembe moja ya Afrika inaitwa Kamisa. Mji mkuu wake ni Maloto. Ni nchi ya kidemokrasia ambayo miaka michache nyuma iliingia katika mfumo wa vyama vingi vya kisiasa chini ya rais wake Abdallah Heris. Katika uchaguzi wake wa kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi, chama tawala cha Wananchi na Maendelea (WM) kilivishinda vyama viwili vya upinzani, Umoja na Maendeleo (UM) na Maendeleo Haki na Usawa (MHU) vilivyoshiriki katika uchaguzi huo wa kwanza. Hivi sasa uchaguzi mwingine umekaribia. Vyama vya siasa vimeanza kujichua ili kujitosa katika uchaguzi huo kila kimoja kikitarajia kushinda. Tayari chama cha UM kimemteua mwenyekiti wa chama hicho, Max Shanga kugombea urais kupitia chama hicho. Max Shanga ni kijana mwenye umri wa miaka arobaini na mitano. Ana sifa ya uchapaji kazi na ukereketwa wa maendeleo. Aliwahi kuwa waziri katika serikali iliyopita kabla ya kujiunga na chama cha upinzani. Lakini anakabiliwa na changamoto kubwa ya kupata urais kwani anachuana na wagombea wawili ambao pia wanakubalika kwa wananchi akiwemo mgombea wa chama tawala. Hilo ndilo jambo linalomtia wasiwasi… SASA ENDELEA ALIKUWA amemaliza kula chakula cha usiku pamoja na mke wake, mtumishi wao alipowafuata na kuwambia. “Kuna mtu anabisha kwenye mlango” “Ni nani?” Max Shanga akamuuliza. “Sijui ni nani?” “Umemuuliza anamtaka nani?” “Amesema anakuhitaj wewe” “Mkaribishe sebuleni, ninakuja…” “Si ungekwenda kumuona kwanza…? Mke wake alimkatiza. “Nimeshakuwa mtu wa watu, mgombea urais. Natakiwa niwe na sifa ya ukarimu na ucheshi kwa kila mtu, ninayemjua na nisiyemjua…” Shanga aliondoka kwenye kiti na kwenda sebuleni. Alimuona mtumishi wake akikakaribisha wageni wawili. Wote wawili walikuwa wamevalia suti nyeusi na tai. Mara tu baada ya kuwaangalia, Shanga aligundua kuwa sura zao hazikuwa ngeni machoni mwake inagawa hakuweza kutambua mara moja walikuwa kina nani. Alihisi huenda walikuwa wanachama wa chama chake au watu aliokuwa akikutana nao katika harakati zake za kisiasa. “Karibuni sana,” Shanga aliwambia akiwa amesimama katikati ya sebule akiwasubiri. “Asante mheshimiwa,” mmoja wa watu hao alimjibu Shanga na kumpa mkono. “Habari ya jioni?” “Nzuri. Habari zenu na nyie?” Shanga aliwauliza wakati akipeana mkono na mtu wa pili. “Sisi tuwazima, tunashukuru,” mtu aliyekuwa akimpa mkono alimjibu. “Karibuni kae,” Hashim aliwambia kabla ya kuketi. “Sisi ni wageni wako, tunatoka katika jumuia moja muhimu sana. Mimi ninaitwa Dominick Lisha, mwenzangu ni John Bosco,” mmoja wa watu hao alisema. Shanga aliwatazama kwa zamu na kuwambia. “Nimefurahi kuwafahamu “Sisi si wanachama wa chama chochote cha siasa lakini tunafuatilia kwa makini harakati za chama cha UM unachokiongoza wewe,” Dominick Lisha aliendelea kueleza. “Ndiyo, nimefarijika sana kusikia hivyo. “Tumefurahi kusikia kuwa chama chako kimekuteua kugombea urais. Sisi tumekuja kukueleza nia yetu ya kukuunga mkono na kukuhakikishia kuwa tutakuwa bega kwa bega na wewe hadi urais. “Nitashukuru sana. Ningeomba mnifahamishe mnatoka katika jumuia gani kwani sura zenu si ngeni machoni mwangu. “Sura zetu si ngeni kwako kwa sababu tunashiriki katika mikutano yako mingi na pia tunafika katika ofisi za chama chako. Bila shaka utakuwa unatuona bila kututambua,” Lisha akamueleza Shanga. “Ni kweli, inawezekana. “Kama utakubaliana na sisi uwezekano wa wewe kupata urais ni wa asilimia mia moja. “Hamjanitambulisha, mnatoka katika jumuia ipi? “Sisi tunatokea katika jumuia ya kiraia na ipo katika nchi mbalimbali hapa Afrika, Asia na pia nchi za Ulaya na Marekani,” Lisha alijibu. “Jumuia yenu inaitwaje na inashughulika na nini? “Kwa kifupi sisi ni Freemaso.” Max Shanga alishituka. Ili kuficha uso wake usioneshe mshituko alitabasamu. Tabasamu hilo la uongo lilionekana kwenye uso wake tu lakini mshituko uliendelea kubaki ndani ya moyo wake! “Nyinyi ni Freemaso? Shanga aliwauliza huku akiwatazama tena kwa zamu kama vile ilikuwa ndio kwanza anawaona. “Ndiyo, sisi ni Freemaso au wajenzi huru,” John Bosco aliyekuwa kimya muda wote alimjibu. “Nimekuwa nikisikia tu kuhusiana na Freemaso lakini sifahamu shughuli zao ni nini? “Huwezi kuzijua shughuli zetu kwa undani mpaka uingie ndani ya kundi letu. Na wewe tunakushauri uingie ili uweze kupata mafanikio ya kisiasa,” Bosco alimjibu. “Mnaweza kunidokeza kidogo? “Tunachoweza kukudokeza ni kuwa Freemaso tupo kusaidia watu, kuendeleza watu pamoja na kuwapa watu fikira mpya za kimaendeleo. Tuna misingi yetu ambayo kama utaifuata ni lazima utafankiwa kupata urais. “Ningependa mnipe ufafanuzi zaidi, mnawasaidiaje watu?” Bosco alitoa kicheko. Ni siri yetu. Haturuhusiwi kutoa siri zetu za ndani isipokuwa tunakushauri uingie ndipo utakapojua mengi. “Na kwa vile unagombea urais, hii ni nafasi muhimu kwako ya kupata urais. Kama tulivyokwambia kama utafuata misingi yetu uwezekano wa wewe kupata urais ni wa asilimia mia moja,” Lisha akaongeza. Uwezekano wa kupata urais ni wa asilimia mia moja! Shanga aliwaza kwa mhangao. Huku moyo wake ukianza kupata chembe za matumaini aliuliza. “Sasa mtanisaidiaje ili niweze kupata huo urais? “Ni mpaka uingie ndipo utakapouona msaada wetu,” alimjibu Lisha. “Kuna masharti gani ya kujiunga? “Hakuna masharti yoyote. Mtu yoyote anaruhusiwa kujiunga. “Na ofisi zenu ziko wapi? “Hapo utakapohitaji tutakupeleka.” Shanga alibaki kimya kwa muda akiwaza kisha aliuliza. “Niliwahi kusikia kuwa Freemaso ni aina ya dini na mnaabudu mashetani, ni kweli? “Usisikilize maneno ya nje. Freemaso inasemwa kwa mengi yasiyo na ukweli. Ukweli halisi ni ule utakaoelezwa utakapoingia. Unajua Freemaso imeweka mkono katika chama chako bila wewe kujua? “Mimi sijui kama Freemaso imeweka mkono katika chama changu, nyinyi ndio mnanieleza “Mfadhili mkubwa wa chama chenu ni Freemaso!” Shanga alishituka kidogo akawakazia macho Lisha na Bosco. “Hebu niambie ni nani? Sisi tuna wafadhili wengi “Yeye ni mfadhili mkubwa kuliko wote katika chama chako,” Lisha alimwambia. “Mngenitajia jina lake niweze kumfahamu. “Kama utakubaliana na sisi na utakuwa tayari kujiunga na jumuia yetu, tunaweza kuja naye kesho hapa kwako muda kama huu. “Ni mfanyabiashara? “Ndiyo ni mfanyabiashara. Huwezi kuamini kuwa kabla ya kujiunga na Freemaso alikuwa akiuza machungwa sokoni,” Lisha aliendelea kumueleza Shanga. “Ningependa nimuone. Na kama mlivyosema mtakuja naye ni sawa isipokuwa nisingependa tukutane hapa nyumbani. Tutafute sehemu nyingine. “Kama wapi? “Kwenye hoteli yoyote. “Ungependa tukutane hoteli gani? “Pasific panafaa zaidi. “Saa ngapi? ‘Tukutane saa mbili usiku” “Sawa. Tutakuja hapo saa mbili usiku. “Nitahamasika zaidi kama mtafika na huyo mfadhili wetu amabaye ni Freemaso. “Tutafika naye. “Nitafurahi kumuona na kumfahamu. “Ni kina nani wale?” Joyce mke wa Shanga alimuuliza mume wake baada ya kuwatoa wageni hao walioondoka kwa benz jeusi. “Ah! Ni wanachama wangu, wamemekuja kunipongeza kwa kuteuliwa kwangu kugombea urais,” Shanga alimdanganya mke wake. Hakutaka ajue kuwa watu hao walikuwa Freemaso. Shanga hakujali kuona uso wa mke wake ukionesha mashaka, aliketi na kuwasha TV. “Wakati niko jikoni nilisikia wakitaja neno Freemaso,” Joyce aliendelea kumwambia. “Tulikuwa tunawazungumzia hao watu,” Shanga alisema huku macho yake yakiwa yameshughulika na TV. Ili kuzuia mke wake asiendelee kumdadisi alimwambia. “Nataka kutazama taarifa ya habari.” Joyce akaondoka kuelekea jikoni. Ilimchukua Shanga muda mrefu kupata usingizi usiku wa siku ile. Akili yake ilikuwa ikiyatafakari yale maneno ya wale watu kwamba kama atajiunga na Freemaso uwezekano wa kupata urais ni wa asilimia mia moja. Tatizo lake halikuwa kujiunga na Freemaso, tatizo lake lilikuwa ni kupata urais. Ndoto zake zilikuwa ni siku moja kuwa rais wa Jamhuri ya Kamisa. Kama kujiunga na freemaso kutamuwezesha kupata urais, Shanga aliwaza, angekuwa tayari kujiunga na kundi hilo. Alichokuwa anahitaji ni kupata hakikisho kuwa kujiunga kwake na Freemaso hakutaingilia wala kuathiri shughuli zake za kisiasa. Pia Shanga alitaka kumjua mfadhili wa chama chake aliyedokezwa na watu hao. Alijiambia kama watamleta na mwenyewe akathibitisha kuwa ni freemaso, Shanga angekuwa tayari kujiunga na kundi hilo. Asubuhi kulipokucha kama kawaida yake Shanga alifika ofisini kwake saa mbili asubuhi na kuendelea na shughuli zake za kila siku.

JAHAZI la KMKM limezamishwa na timu ya Mlandege baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kwenye mechi iliyochezwa uwanja wa Mao A, Unguja.

TIMU ya Zimamoto imeendeleza ushindani katika Ligi Kuu Zanzibar baada ya kuichapa Raskazone mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa Oktoba 19, 2026 kwenye Uwanja wa Mao A uliopo Unguja.

MASHINDANO ya Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF FA Cup 2026) hatua ya awali ya mchujo inatarajiwa kuanza Oktoba 22, 2026 huku yakihusisha timu 38 zitakazowania nafasi ya kusonga mbele.

MWAMUZI wa Abubakar Khatib ‘Kilupi’ amefungiwa kwa kipindi cha miezi mitatu huku mchezaji wa Muembe Makumbi, Ibrahim Samwel akifutiwa kadi ya njano ya pili aliyoonyeshwa katika mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).

…. Deploys tracking technology to monitor medical supplies, assures Nigerians of safety checks By Chioma Obinna The National Agency for Food and Drug Administration and Control (NAFDAC) has said all donated medicines and vaccines under the Nigeria-United States government agreement that are not manufactured in the US will undergo testing for quality, safety and efficacy, […]

UJERUMANI: MABINGWA wa soka wa Ujerumani, Bayern Munich, leo Oktoba 21, 2026, wanaikaribisha Arsenal katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaopigwa kwenye Uwanja wa Allianz Arena, huku timu zote zikilenga kuimarisha nafasi zao katika hatua ya ligi ya michuano hiyo. Mchezo huo unatarajiwa kuwa kipimo muhimu kwa timu hizo mbili kutokana na ushindani wake,…

"Having suffered a torn anterior cruciate ligament in his right knee during yesterday's match against FC Barcelona, Khvicha Kvaratskhelia is set to undergo surgery in the coming days," PSG said in a statement.

PARIS: NYOTA wa Paris Saint-Germain (PSG), Khvicha Kvaratskhelia, anakabiliwa na kipindi kigumu baada ya kuripotiwa kupata jeraha la goti katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona. Kvaratskhelia aliumia goti la kulia wakati wa mchezo huo uliofanyika Oktoba 20, 2026, ambapo PSG iliibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Barcelona. Ripoti za…

By Olasunkanmi Akoni Lagos State Governor, Babajide Sanwo-Olu, has directed the Lagos State Public Works Corporation (LSPWC) to commence immediate road reconstruction and rehabilitation across the state, taking advantage of the dry season to address critical infrastructure deficits. The General Manager of LSPWC, Engr. Tokunbo Ajanaku, disclosed this on Thursday during an inspection tour of […]

SHINYANGA: THE Shinyanga District Commissioner, Julius Mtatiro, has urged officers and rangers of the Tanzania Forest Services Agency (TFS) to strengthen their efforts and adopt innovative approaches to managing bee resources to increase honey production and other bee products in the country. Mtatiro made the call on October 20, 2026, while officially opening a training…

“The objective is not to encourage every student to borrow, but to ensure that every eligible Nigerian student who genuinely needs financial assistance has the opportunity to access it,” NELFUND said.

English football's Independent Regulator (IFR) will have "absolute power" to force Manchester City’s owners to sell if they are ultimately found to have run the club improperly, the watchdog’s chair has said.

By Nwafor Sunday Polycarp, Online News Editor Bayo Onanuga, Special Adviser to President Bola Tinubu on Information and Strategy, has challenged the presidential candidate of Nigeria Democratic Congress, NDC, Peter Obi, over his claim that political opponents twisted his comments about Nigerians in the diaspora. Onanuga also called for the death penalty for counterfeiters following […]

Kijaji orders fast-tracking of works DAR ES SALAAM: MINISTER for Natural Resources and Tourism Ashatu Kijaji (pictured) has set April next year as the deadline for completing tourism development projects at Pugu–Kazimzumbwi Forest Reserve, with the facilities expected to begin operating ahead of the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) finals in June. The minister…

ZANZIBAR: ZANZIBAR has received 36 doctors from China to strengthen healthcare services in hospitals across Unguja and Pemba, while promoting the exchange of medical knowledge and expertise with local professionals. The doctors were received by the Ministry of Health after arriving to introduce themselves to ministry officials ahead of their deployment to hospitals across the…

DAR ES SALAAM: SIMBA Head Coach Steve Barker says his side are well prepared for their CAF Champions League second preliminary round first-leg encounter against Equatorial Guinea’s FC 15 de Agosto de Akonibe, insisting that months of preparation have laid a solid foundation for the season. The two sides are set to meet at Uhuru…

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, ameipa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) hadi Aprili 15, 2027, kukamilisha miradi yote ya kuboresha miundombinu katika Hifadhi ya Msitu wa Mazingira Asilia wa Pugu Kazi Mzumbwi, wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani, ikiwa ni maandalizi ya kupokea wageni watakaokuja nchini kushuhudia mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.

DAR ES SALAAM:Rushine de Reuck anaamini kuwa kujiunga na vigogo wa Tanzania, Simba SC, kunaweza kumrejesha kwenye orodha ya wachezaji wanaowania nafasi katika kikosi cha Bafana Bafana. Beki huyo wa Afrika Kusini aliondoka Mamelodi Sundowns mwaka 2024, lakini kuhamia Dar es Salaam bado hakujamrejesha kwenye timu ya taifa. Akiwa na umri wa miaka 28, De…

Governor Dauda Lawal of Zamfara State said Nigerians must learn to live together, support one another and recognise their shared identity, regardless of ethnic or religious differences. The governor revealed this when he received the Igbo Community Association in Zamfara State at the Government House, Gusau, on Thursday. He reaffirmed his administration’s commitment to peaceful […]

The Zamfara State Government says it is stepping up security measures amid rising bandit attacks, including plans to train 1,000 forest guards for deployment across the state. The Commissioner for Information and Culture, Mahmud Mohammed Dantawasa, disclosed this during a briefing at the Government House in Gusau. He identified Bindin and Falale in Maru Local […]

“The essence of federalism is full mutual consent.” — John Buchan Recalling Nigeria’s history in this discourse matters because the country is not an ordinary political community or mere contraption, as some advocates of restructuring erroneously imagine. It comprises peoples of deep consciousness, immense diversity in language, religion, culture, historical experience and political organisation, who […]

Phil Foden hit a hat-trick to underline his long-awaited return to form as Manchester City crushed AEK Athens 5-1 in the Champions League on Tuesday.

Holders Paris Saint-Germain made it three wins from three in this season's Champions League, beating Barcelona 4-2 thanks to late goals from Vitinha and Fabian Ruiz on Tuesday, while Liverpool clinched a dramatic comeback victory over Villarreal.