Makanga aambia mahakama ana kisonono aonewe huruma

NA JOSEPH NDUNDA MAKANGA wa matatu ambaye alikiri kuiba chombo cha kuhifadhi chai almaarufu thermos katika hoteli moja mtaani Kayole, Nairobi na vile vile kuzozana na wahudumu kuhusu deni la Sh60 ameambia mahakama imwonee huruma akisema ana dalili za kisonono. Samuel Muriuki,26, aliyeiba chombo hicho chenye thamani ya Sh3, 800 amemwambia Hakimu Mwandamizi Hellen Okwani […]