Watalii watatu wajeruhiwa katika mkasa wa moto hotelini Watamu

Taifa Leo
Published: Feb 22, 2023 16:53:13 EAT   |  Travel

NA ALEX KALAMA  RAIA watatu wa kigeni wamejeruhiwa vibaya katika mkasa wa moto uliounguza hoteli tatu eneo la Watamu kaunti ya Kilifi. Watatu hao ambao ripoti za awali zinasema ni Wataliano, walikuwa wamekodi vyumba vya kuishi katika hoteli ya Mubuyu Lodge iliyoko Watamu, inasemekana walikuwa wamelala wakati moto huo ulipozuka na kuunguza hoteli hiyo waliyokuwa […]