Kunguni waongezeka katika lojing’i Kisumu

Na RUSHDIE OUDIA SERIKALI ya Kaunti ya Kisumu imetishia kufunga lojing’i na hoteli zote ikiwa hazitachukua hatua ya kukabiliana na kunguni waliovamia majengo yao. Hii ni kufuatia malalamishi kutoka kwa wakazi na wasafiri kuhusu ongezeko la kunguni wanaowahangaisha usiku kucha katika lojing’i moja almaarufu Yurop. Baadhi ya wapenda burudani wanaopanga makazi Yurop kwa shughuli za […]