NA KALUME KAZUNGU GAVANA wa Lamu, Issa Timamy amefokea wenye hoteli na viwanda wasiowajibika kwa kutupa taka kiholela maeneo yao. Kumekuwa na vilio kutoka kwa wanamazingira na wahifadhi kwamba wamiliki wa baahi ya hoteli na mikahawa inayopakana na fuo za bahari Hindi mjini Shella, Lamu mjini, Kipungani, Ras Kitau, Matondoni, Faza, Kiwayu, Kiunga na kwingineko […]