NA ALEX KALAMA SERIKALI imepanga kutengeneza mochari za muda katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Malindi, Kaunti ya Kilifi, baada ya hifadhi ya maiti kujaa kufuatia ongezeko la idadi ya miili inayofukuliwa katika eneo la Shakahola. Maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Uhalifu (DCI), walisema, kontena ambazo hutumiwa kusafirisha mizigo kwa meli, ndizo zitawekwa katika […]