Kaunti ya Mombasa yalenga kuvuna zaidi kwa makongamano

NA VALENTINE OBARA GAVANA wa Mombasa, Bw Abdulswamad Nassir, amedokeza mipango ya kaunti hiyo kubuni sheria mpya itakayoisaidia kunufaika kutokana na makongamano mengi yanayoandaliwa hotelini. Akizungumza Jumatatu wakati wa warsha ya viongozi wa mashtaka, Bw Nassir alisema kaunti inalenga kukuza mbinu ya kuvutia watalii kupitia kwa warsha na mikutano. “Tunataka kuwa na sheria ndogo ya […]