TravelNgorongoro wins Africa award for conservation excellence
The award recognises Ngorongoro’s efforts to conserve biodiversity, promote sustainable tourism and safeguard its globally significant natural and cultural heritage.
Category
Safari, beaches, mountains and city breaks: tourism news, destination ideas and travel updates for East Africa and beyond.

KAGERA; Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari 13, wakiwemo wa wanyamapori wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), askari wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na askari mgambo, kwa tuhuma za mauaji ya watu wanne yaliyotokea Kijiji cha Kanyamika, Kata ya Karambi, Tarafa ya Kimwani, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera. Taarifa…

ACCRA: THE Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) has won the Excellence in Sustainable Tourism and Conservation Management Award at the Africa Business Forum & Awards 2026. The award recognises Ngorongoro’s contribution to biodiversity conservation, sustainable tourism development and the protection of its outstanding natural and cultural heritage. The awards ceremony was held in Accra, Ghana,…

MARA; Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesema Uwanja wa Gofu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti utawezesha Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa ya gofu ya Afrika na kimataifa, hatua inayotarajiwa kuongeza idadi ya watalii, mapato na kuitangaza nchi kupitia utalii wa michezo. Akizungumza leo Oktoba 18, 2026, wakati wa uzinduzi wa…

The award recognises Ngorongoro’s efforts to conserve biodiversity, promote sustainable tourism and safeguard its globally significant natural and cultural heritage.

DAR ES SALAAM: Idadi ya watalii wanaotembelea hifadhi za misitu nchini imeongezeka kutoka chini ya 200 mwaka 2015 hadi zaidi ya 390,000 kwa mwaka, hatua inayoashiria kuongezeka kwa shughuli za utalii. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umesema ongezeko hilo linachangiwa na juhudi za kuboresha uhifadhi na kuendeleza utalii wa misitu. Ofisa Uhifadhi TFS,…

NGORONGORO: RESIDENTS of Ngorongoro District in Arusha Region have been urged to cooperate with experts assessing the need to establish a customs service station in the area to determine whether it meets the legal and operational requirements for such a facility. The call was made by Deputy Minister for Finance, Engineer Mshamu Ali Munde, during…

KILIMANJARO: Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi imeendelea kuibuka kuwa moja ya vivutio muhimu vya utalii nchini Tanzania, huku utalii wa faru weusi ukitajwa kuwa kivutio kikubwa kinachoongeza idadi ya watalii wanaotembelea hifadhi hiyo. Hifadhi hiyo, iliyopo katika mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, ina ukubwa wa kilometa za mraba 3,245 na iko takribani kilometa 112 kutoka…

DAR ES SALAAM: FURSA za uwekezaji katika sekta ya uvuvi, ufugaji wa samaki, usindikaji wa mazao ya baharini, utalii wa bahari, usafirishaji wa majini, bandari, mafuta na gesi zimepewa kipaumbele kupitia Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) unaoendelea jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika mkutano huo, Waziri wa Nchi, Ofisi…

PWANI: Uzinduzi wa mashindano ya Vodacom Coastal Classic 2026 umeonesha namna michezo inavyoweza kuwa chachu ya kukuza utalii, elimu na maendeleo ya jamii nchini Tanzania. Mashindano hayo ya baiskeli yametoa fursa ya kuonesha vivutio vya utalii vilivyopo katika ukanda wa pwani, huku yakiunga mkono shughuli zenye manufaa ya muda mrefu kwa jamii zitakazopitiwa na msafara…

NGORONGORO: INDIA’S travel agents have expressed their admiration for the beauty of the Ngorongoro Conservation Area and Serengeti National Park following a familiarisation trip organised by the Tanzania Tourist Board (TTB) in collaboration with the Tanzanian Embassy in India. The trip, aimed at promoting Tanzania as a destination in the international tourism market, brought together…

DAR ES SALAAM: NGORONGORO Heroes settled for silver after losing 4-3 on penalties to Sudan in the final of the CECAFA U-20 Africa Cup of Nations (AFCON) qualifiers at Uhuru Stadium in Dar es Salaam yesterday. The two sides battled to a goalless draw in regulation time before the final came alive in extra time.…

MOROGORO; Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka, akiwa ameambatana na Kamati ya Usalama Wilaya, amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi Tarafa ya Mikumi na kutatua kutatua migogoro. Pia katika ziara hiyo amekagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya Kijiji cha Nyamfisi na kufanya mikutano ya hadhara kuhamasisha wananchi kushiriki shughuli za maendeleo…

Only eight individuals survived the plague while the others were males that may have entered the crater from the adjacent Serengeti plains.

DAR ES SALAAM: NGORONGORO Heroes have been warned there will be no room for another slow start when they face Burundi in today’s CECAFA U-20 Africa Cup of Nations qualifiers semifinal at Uhuru Stadium in Dar es Salaam. Tanzania have arrived at the last four impressively, scoring seven goals without conceding in their opening two…

ARUSHA: Juhudi zinazofanyika kuhakikisha faru wanaendelea kuishi katika mazingira yao ya asili zimeangaziwa kupitia filamu mpya ya “The Rhinos of Ngorongoro – A Conservation Story”, iliyoandaliwa na Ngoteya Wild kwa kushirikiana na Mamlaka ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Filamu hiyo imezinduliwa leo Septemba 22, 2026, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya…

DAR ES SALAAM: TANZANIA is one of the world’s most popular travel destinations because it offers an exceptional blend of natural beauty, wildlife, adventure, and cultural heritage. Visitors from around the globe come to experience unforgettable safaris in worldrenowned national parks such as the Serengeti and the Ngorongoro Conservation Area, where they can see lions,…

The Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) has submitted samples from 10 lions found dead in the Ngorongoro Conservation Area to the Government Chief Chemist’s Laboratory as investigations into the cause of their deaths intensify.

ZANZIBAR; Uzinduzi wa hoteli ya Skylong Resort Zanzibar umeelezwa utafungua milango kwa sekta ya utalii mjini humo.. Uzinduzi huo ulihudhuriwa hivi karibuni na viongozi mbalimbali, maofisa wa serikali na wanahabari. Akizungumza katika hafla hiyo,Naibu Waziri wa Utalii Zanzibar, Mudrick Soraga, ameisema uzinduzi huo unatarajiwa kuchochea uchumi wa ndani kwa kutengeneza ajira na kuimarisha hadhi ya…

Wildlife veterinarians explain the carcasses of the dead must be burnt to ashes in order to ensure that whatever killed the large cats does not spread to other wildlife species.

DAR ES SALAAM: NGORONGORO Heroes Head Coach Mario Rivera Campesino has demanded his charges to eliminate high-risk maneuvers from their defensive buildup play. He cited several structural and positioning errors although they comprehensively gained 4-0 victory over Ethiopia in the 2026 CECAFA U-20 Africa Cup of Nations qualifiers. The commanding win successfully propelled Tanzania into…

NGORONGORO: TANZANIA Conservation and Heritage Initiatives (TCHI) has condemned the killing of six frontline conservation personnel in Tabora Region and the suspected poisoning of ten lions in the Ndutu, within Ngorongoro Conservation Area, calling for thorough investigations and accountability in both incidents. TCHI Chief Executive Officer, Mr Constantine Akitanda described the two incidents as a…

The carcasses of the ten wild cats were found spread across the Ndutu plains within the north-western section of Ngorongoro, where the conservation area borders Southern Serengeti.

MOROGORO: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi Sh bilioni 2.47 kwa wanufaika wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii kwa mwezi Julai 2026. Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya TAWA mkoani Morogoro, Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA, Mlage Kabange, amesema Sh billioni 1,74 zimeelekezwa…

DAR ES SALAAM: TIMU ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’, inatarajia kuendelea na kampeni ya kufuzu AFCON dhidi ya Ethiopia kesho katika mchezo wa Kanda ya Cecafa utakaochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam Ngorongoro Heroes, tayari imeanza kwa ushindi baada ya kuifunga Rwanda katika mchezo wake…

KIGOMA: Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imetangaza mpango mkakati wa matumizi ya nishati safinya kupikia ili kukabiliana na changamoto ya uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi. Ofisa Maliasili ma Mazingira wa Wilaya Kasulu, Elikana Maige alisema hayo akitoa taarifa kwa kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru, Wazo Mwang’onda alipotembelea kukagua mradi wa…

RIKA la Erumeruasi katika jamii ya Watemi, Kata ya Oldonyosambu, Tarafa ya Sale wilayani Ngorongoro, limepongezwa kwa kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya Oldonyosambu chenye thamani ya Sh milioni 305.411, hatua inayoonesha namna mila na tamaduni zinavyoweza kutumika kuchochea maendeleo na kuboresha huduma za jamii. Katibu Tawala wa Wilaya ya Ngorongoro, Hamza Husein Hamza, aliyemwakilisha…

WITO umetolewa kwa mataifa mbalimbali kuingilia kati ili kuisaidia nchi ya Nepal baada ya idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko makubwa yaliyokumba maeneo ya milimani ikiwa zaidi ya 470 huku zaidi ya watu 1,000 wakiendelea kutafutwa. Waokoaji wanaendelea kukagua mabonde na vijiji vilivyofunikwa na matope, mawe na vifusi baada ya mafuriko makubwa yaliyotokea Jumatano. Janga hilo lilitokea baada ya sehemu ya barafu katika Milima ya Himalaya kuyeyuka na kusababisha mkondo mkubwa wa maji, matope na mawe kuingia kwenye mito ya milimani. Awali kulikuwa na dhana kwamba tetemeko la ardhi ndilo lililosababisha maafa hayo, lakini uchunguzi wa baadaye ulionyesha kuwa kuyeyuka kwa barafu na miamba ndiko kulikosababisha mafuriko hayo. Mafuriko hayo yameathiri vibaya eneo la Rasuwa na maeneo mengine kaskazini mwa Nepal, karibu na mpaka wa China. Vijiji, barabara, madaraja na miundombinu mingine vimeharibiwa, hali inayofanya shughuli za uokoaji kuwa ngumu. Taarifa za mamlaka ya utalii Nepal zinaonyesha kuwa watalii 667 hawajulikani waliko, wakiwemo raia wa nchi 31. Takribani wageni 540 kati yao ni raia wa kigeni. India imeorodhesha raia wake 288 waliopotea, huku Amerika ikiwa na angalau 65, Malaysia 55, Ukraine 53, Uingereza 33, Australia 25 na Canada 25. Mafuriko pia yameathiri upande wa Tibet unaodhibitiwa na China. Katika jimbo la Gyirong, watu 558, wakiwemo raia 260 wa kigeni, wameripotiwa kupotea, huku China ikithibitisha vifo vitatu. Serikali za Nepal na China zimepeleka helikopta na vikosi vya uokoaji katika maeneo yaliyoathirika. Hata hivyo, barabara zilizokatika na mawasiliano kuvurugika vimeathiri juhudi za kuwafikia manusura. Wakati huo huo, mamlaka zimeonya kuhusu hatari nyingine ya mafuriko baada ya maji kuziba sehemu ya Mto Bhotekoshi na kuunda ziwa linaloweza kuvunja kingo na kusababisha mafuriko zaidi. Wakazi katika maeneo yaliyo hatarini wameonywa kuwa tayari kwa uokoaji. Nepal hupokea mvua nyingi wakati wa msimu wa monsoon, lakini wataalamu wameonya kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yanaongeza hatari ya kuyeyuka kwa barafu na kutokea kwa mafuriko makubwa. Shughuli za uokoaji zinaendelea huku familia zikisubiri taarifa kuhusu ndugu zao waliopotea.

The CBK notes that the improvement reflects seasonal demand and prevailing tourism trends, with Nairobi recording a particularly strong increase in international meetings and conferences.

KATIKA Kiswahili, upatanisho wa kisarufi ni muhimu tunapotaja idadi. Mojawapo ya makosa yaliyozoeleka ni kuhesabu miezi bila kutumia kiambishi cha nomino ambacho ni mi-. Ni kawaida kukutana na sentensi kama vile: *Msimu huo mvua ilinyesha kwa mwezi tatu. Sentensi hii si sahihi. Nomino mwezi inamaanisha kipindi cha siku ishirini na nane hadi thelathini na moja. Kwa hivyo katika wingi itakuwa miezi. Vilevile, kivumishi cha idadi tatu kinafaa kichukue kiambishi mi-. Ili kuisahihisha tutasema: Msimu huo mvua ilinyesha kwa miezi mitatu. Makosa mengine yaliyozoeleka katika kuhesabu nomino ni kuvipa vivumishi tasa viambishi vya idadi: sita, saba, tisa na kumi. Kila mara utakumbana na sentensi kama vile: Nilipofika darasani niliwapata wanafunzi *wasita. Vikombe *visaba vimeoshwa na mpishi. Magari *matisa yameegeshwa. Miti *mikumi ilipandwa jana. Sentensi hizi si sahihi kwani zimetumia viambishi vya nomino mwanzoni mwa vivumishi sita, saba, tisa na kumi. Tunafaa kuzisahihisha kwa kusema: Nilipofika darasani niliwapata wanafunzi sita. Vikombe saba vimeoshwa na mpishi. Magari tisa yameegeshwa. Miti kumi ilipandwa jana. Kosa jingine la kawaida tunapohesabu nomino ni kukosa kutumia viambishi vya nomino tunapotaja vivumishi vya idadi vinavyobadilika katika wingi. Aghalabu utakumbana na sentensi kama: *Nilinunua vitabu kumi na moja. *Wageni tano wamewasili kwetu. Tunafaa kusema: Nilinunua vitabu kumi na kimoja. Wageni watano wamewasili kwetu. Mwanafunzi mwenye changamoto ya kuhesabu nomino kwa usahihi, afanye mazoezi ya kuhesabu nomino ainati katika umoja na wingi.

DAR ES SALAAM :Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza rasmi dirisha la usajili kwa wadau wa uhifadhi na utalii kuwania Serengeti Awards 2026, huku ikiwasisitiza kutumia fursa hiyo kuonyesha kazi, ubunifu na mafanikio yao katika uhifadhi wa wanyamapori, maliasili na uendelezaji wa utalii. Dirisha hilo litafunguliwa Agosti 20, 2026 na litafungwa Septemba 30, mwaka huu.…

DAR ES SALAAM: Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari kuhusu masuala ya hifadhi ya jamii, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuongeza uelewa wa umma na wanachama kuhusu huduma, haki na wajibu unaotolewa na Mfuko huo. Mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza Agosti 17,…

ARUSHA: A modern dispensary built by the Tanzania National Parks (TANAPA) with support from the German government, through its development bank (KfW) and Frankfurt Zoological Society(FZS) was inaugurated on Monday at Enguserosambu, Ngorongoro district, in Arusha region. The inauguration ceremony was attended by a delegation of representatives from the government of Germany, TANAPA, Frankfurt Zoological…

NGORONGORO: TANZANIAN Ambassador to France and Permanent Representative to UNESCO, Saidi Yakubu, has said the Ngorongoro-Lengai UNESCO Global Geopark and Olduvai Gorge are among the country’s unique heritage assets that give Tanzania a prominent position globally in human history, geological science, conservation and heritage tourism. Ambassador Yakubu made the remarks during a visit to the…

Recounting the incident after the burial, Mr Chambega alleged that after arriving at the area, they turned back and informed the officers they had missed their direction. However, the officers demanded a fine of Sh118,000 each.

Three motorcycle riders on their way to attend a funeral service, took a wrong turn and fell into the hands of rangers in Ngorongoro. Death resulted

KAGERA: Waziri wa Maliasili na Utalii ameendelea na ziara katika Wilaya ya Muleba ambapo ametembelea mradi wa ujenzi wa soko kubwa la kisasa katika mji wa Muleba. Akiwa Muleba, Dk Kijaji, amewataka wananchi kutunza amani ili waweze kunufaika na matunda ya uwekezaji wa serikali na kudai kuwa ikiwa wananchi hawatjivunia amani yao basi hawataweza kunufaika…

ARUSHA: THE Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA) has called for scientific research at a site in Pinyinyi Ward, Ngorongoro District, where numerous animal and possible ancient human bones have been discovered. TAWA Senior Conservator, Mr John Sulle said in Arusha yesterday during a two-day Lake Natron conservation campaign workshop that the site, located in Engaresero…

ARUSHA: ON most days, Arusha is known as the gateway to some of Africa’s most celebrated wildlife destinations, dispatching safari vehicles toward the Serengeti, Ngorongoro Crater and Mount Kilimanjaro. This September, however, the northern Tanzanian city is preparing for a different kind of traffic. From September 5 to 6, thousands of motorists, transport operators, financiers,…

IRINGA: UHUSIANO uliokuwa na uhasama kati ya wananchi na Hifadhi ya Msitu wa Makere Kusini, maarufu Kagera Nkanda, wilayani Kasulu mkoani Kigoma, umeanza kuimarika kufuatia utekelezaji wa mradi wa uhifadhi shirikishi unaowakutanisha wananchi wa vijiji vinne vinavyozunguka hifadhi hiyo pamoja na mamlaka za usimamizi wa misitu na wanyamapori. Hayo yameelezwa katika mkutano wa siku mbili…

DAR ES SALAAM: Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umetangaza nafuu kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango kwa kuwapatia fursa ya msamaha wa tozo zitokanazo na ucheleweshaji wa michango, huku ukiwataka kuchangamkia fursa hiyo ili kupunguza mzigo wa madeni, kuimarisha uzingatiaji wa sheria na kulinda haki za wafanyakazi. Akizungumza leo Julai 17 Dar…

ARUSHA: Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii katika Destination Tanzania Stakeholders Forum 2026 iliyofanyika jengo la Ngorongoro, Arusha, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika kuitangaza Tanzania na kuongeza ushindani wa sekta ya utalii duniani. Jukwaa hilo liliwakutanisha wawakilishi kutoka serikalini, sekta binafsi, vyama vya utalii, waongoza watalii, mahoteli, mashirika…

More than 1,627 households from Ngorongoro were relocated to Msomera, Simanjiro (Manyara) and other parts of the country during the 2022 exercise

NGORONGORO: FEW places on earth inspire awe quite like the Ngorongoro Conservation Area with its spectacular beauty and natural magnificence that has captivated the Joint Permanent Commission on Defence and Security (JPCDS) delegation from Tanzania and Zambia with a lasting impression. The delegation was led by Tanzania’s Minister for Home Affairs, Patrobas Katambi, together with…

ARUSHA: WAZIRI wa Maliasilia na Utalii, Dk Ashatu Kijaji ameiagiza Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inabuni vyanzo vipya vya mapato ili viakisi ukubwa wa jukumu la mamlaka hiyo ili ianze kutoa gawio kwa serikali. Dk Kijaji amesema hayo leo Januari 9, 2026 jijini Arusha wakati wa uzinduzi wa bodi … The post TAWA waagizwa mbinu mpya za mapato ili kutoa gawio first appeared on HabariLeo.

“HATUWEZI kuzungumzia mafanikio ya sekta ya utalii pasipo kutambua jitihada za makusudi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan alipoamua kutoka ofi sini na kwenda kutengeneza fi lamu za kimkakati za ‘Tanzania: The Royal Tour’ na ‘Amazing Tanzania’. The post Tanzania ya Samia na Tuzo za Ubora wa Utalii Duniani first appeared on HabariLeo.

MAENDELEO ya afya ya msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na mbunge wa zamani wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’, yameimarika kwa kiasi kikubwa, huku ikitabiriwa kuwa atarejea rasmi katika majukumu yake ifikapo mwaka 2026. The post Prof. Jay atimiza miaka 50 first appeared on HabariLeo.

SEKTA ya utalii Tanzania imepata ongezeko la asilimia tisa ya idadi ya watalii katika kipindi cha miezi 11 ya kwanza ya mwaka 2025, ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2024. Idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka zaidi baada ya kukamilika kwa takwimu za Desemba, kwani msimu wa sikukuu huwa na ongezeko la safari za kimataifa na za … The post Tanzania yavunja rekodi utalii 2025 first appeared on HabariLeo.

UCHUNGUZI kuhusu ajali ya helikopta ya uokoaji iliyotokea katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) umeanza kwa lengo la kubaini chanzo cha ajali hiyo iliyotokea juzi na kusababisha vifo vya watu watano. The post Uchunguzi waanza helikopta iliyoua watano Kilimanjaro first appeared on HabariLeo.

MWAKA unapoelekea kuisha, msisimko wa sherehe unaendelea kutanda kote nchini wengi wakilazimika kujimudu licha ya uchumi mgumu, hali ya anga isiyotabirika pamoja na ubabe wa kisiasa. Maelfu ya Wakenya wamechagua kudumisha desturi ya kujiunga na jamaa zao vijijini kwa sikukuu kama miaka ya nyuma japo mara hii hali ngumu ya maisha inaonekana kuwalemea wengi. Magharibi, eneo ambalo yamkini ndilo linalokumbatia sana sikukuu ya Krisimasi kwa Wakenya, aghalabu hushuhudia ongezeko la wasafiri wenye hamu ya kuungana na familia zao. Kamishina wa Eneo la Nyanza Flora Mworoa, alisema vikosi vya usalama vimeshirikiana na Shirika la Wanyamapori (KWS) kuimarisha usalama katika sekta ya utalii. Vikosi vya usalama vilevile vinashirikiana kwa karibu na Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama Barabarani (NTSA) kuhakikisha madereva wanazingatia sheria za trafiki ili kuzuia ajali. Kulingana na ripoti iliyotolewa majuzi na Huduma ya Polisi nchini, sehemu hatari Magharibi mwa Kenya zinajumuisha barabara za Mbale–Vihiga, Kakamega–Chavakali, Kakamega–Kisumu–Ilesi, Museno, Kakamega–Mumias Road, Makunga, na barabara kuu ya Kakamega–Webuye–Lubao. Eneo la Nyanza itabidi usalama umakinikiwe zaidi barabara za Awasi–Ahero Kiboswa–Kisumu, Oyugis–Kisumu, Migori–Kakrao, Makutano ya Daraja Mbili–Bondo na barabara ya Oyugis–Katitu. Jiji la Kisumu limeweka kando usingizi na kugeuka sherehe waziwazi ambapo muziki unafuatana na baruti hewani huku kila jioni ikiahidi kumbukumbu mpya za ngoma ambazo wakazi wanaita “sherehe baada ya sherehe (party after party).” Katika eneo la Pwani, wamiliki hoteli walikiri kupokea zaidi ya asilimia 80 ya wageni katika majengo yao, wakitumai kwamba idadi hiyo itafikia asilimia 90–100 kufikia Krismasi na Mwaka Mpya. Msimamizi wa Hoteli ya Malindi Ocean Beach Resort and Spa, Maureen Obunga, alisema karibu nusu ya wageni inajumuisha Wakenya kutoka sehemu mbalimbali za nchi. Mkuu wa Majeshi, Charles Kahariri alizuru Msitu wa Boni, Lamu, kushiriki tamasha za mapema za Krismasi na Mwaka mpya huku wanajeshi wakitumwa kukabiliana na magaidi wa Al-Shabaab. Doria za kiusalama zimezidishwa Bonde la Ufa huku Kamanda wa eneo hilo, Dkt Abdi Hassan, akiwahimiza waendeshaji magari kuzingatia sheria za usalama barabarani. Hoteli kubwa kadhaa Naivasha na Nakuru zimeandikisha idadi kubwa ya wageni kabla ya Krismasi zikiripoti takriban asilimia 96, Naivasha, na kati ya asilimia 80-90, Nakuru. “Tunatarajia biashara bora zaidi ikilinganishwa na mwaka jana, na hicho ni kitu tunajivunia,” alisema Mwenyekiti wa Muungano wa Utalii Nakuru, David Mwangi.

HANGZHOU, China TUKIO la kushangaza na la aibu lilishuhudiwa katika mji huu baada ya jombi kunaswa kwenye video akining’inia kwenye roshani ya hoteli akiwa amevaa boksa pekee. Inasemekana mwanaume huyo alikuwa akijaribu kutoroka kupitia dirisha ili asionekane baada ya kudaiwa kufumaniwa akila uroda chumbani na mke wa mtu. Walioshuhudia walisema mwanaume huyo aliteleza na kujikuta akining’inia juu ya roshani ya hoteli, akishindwa kupanda wala kushuka. Video za tukio hilo zilisambaa kwa kasi mitandaoni na kusababisha kicheko na kejeli kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Hatimaye, maafisa wa zimamoto waliingilia kati na kumshusha salama. Polisi walisema hakuna aliyekamatwa, lakini tukio hilo limeacha maswali mengi kuhusu uhusiano wa siri na maamuzi hatari yanayochukuliwa baada ya kufumaniwa katika michepuko.