Raha ya wadau meli ya watalii 620 ikitia nanga

NA KNA SEKTA ya Utalii (KTB) imejawa na furaha baada ya meli iliyo na watalii 620 kutia nanga katika bandari ya Mombasa. Akiwapokea wageni hao, Katibu wa Wizara ya Utalii John Ololtua alisema kufika kwa meli hiyo kwa jina World Odyssey ni ishara sekta ya utalii imeanza kunoga. Bw Ololtua aliandamana na maafisa wakuu katika […]