Mchanga wa ufuoni unavyotia ladha njugu

Taifa Leo
Published: Mar 18, 2023 08:59:38 EAT   |  Travel

NA JURGEN NAMBEKA KWA kawaida, mchanga mweupe wa baharini katika Pwani za Kenya huaminika kuwa sehemu ya kivutio kikuu cha utalii. Lakini kwa wakaangaji na wauzaji njugu, mchanga huo ni kiungo muhimu cha mapishi yao. Mabw Charles Kiama na Dennis Maundu kutoka eneo la Changamwe, Kaunti ya Mombasa, ni baadhi ya wakaanga njugu wanaotumia mchanga […]