
Waziri Kairuki aitaka NCT kutoa mafunzo yenye ubora na viwango vya kimataifa
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekielekeza Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) kujikita katika kutoa mafunzo yenye weledi, ubora na viwango vya hali ya juu ili kuendana na hadhi ya utoaji huduma kwa watalii kimataifa. Ameyasema hayo Desemba 14,2023 alipofanya ziara ya kikazi katika Chuo cha Taifa cha Utalii kwa lengo […]









































