NA WINNIE ONYANDO WAKFU wa M-Pesa umetoa kima cha Sh79 milioni kusaidia kuanzisha ujenzi wa kituo cha mafunzo na mikutano katika Hifadhi ya Kalama, Kaunti ya Samburu. Kituo hicho kinatarajiwa kusaidia zaidi ya watu 1, 300. Watakaofaidika watafunzwa jinsi ya kujiajiri, fursa za uhifadhi na hata kuinua mapato ya Hifadhi ya Kitaifa ya Samburu, ikiwa […]