KALUME KAZUNGU NA MKAMBURI MWAWASI TAMASHA ya awamu ya 21 ya Utamaduni wa Lamu zimeendelea kunoga kisiwani Lamu, wenyeji, wageni na watalii waliofurika wakipata fursa ya kujionea mila na tamaduni za jamii ya Lamu. Usalama katika kaunti hiyo umeimarishwa tangu kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya kutoka Minjila hadi Lamu huku wageni wakimiminika kwa tamasha […]