NA TITUS OMINDE PASTA mwenye umri wa miaka 39 na wenzake wawili, wanaomba wasamaria wema kuwaokoa, baada ya kukamatwa na kuzuiliwa kwa kufanya maombi kwa siku 41 katika hoteli moja mjini Eldoret, na kushindwa kulipa bili ya zaidi ya Sh371,000. Pasta Alex Munyoki na wenzake walipiga kambi katika hoteli ya Goshen ili kuombea nchi kutokana […]