NA KALUME KAZUNGU MAELFU ya wageni na watalii kutoka pembe zote za Kenya na ulimwengu wanatazamiwa kufurika Kisiwani Lamu kwa maadhimisho ya Tamasha za Utamaduni wiki hii, licha ya mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeshuhudiwa eneo hilo. Visa vya maradhi hayo hatari vimeripotiwa kwa muda wa majuma mawili mfululizo. Hata licha ya mkurupuko wa […]