NA RICHARD MAOSI WARAIBU wa pombe katika barabara ya Naivasha – Maai Mahiu wanalazimika kurejea makwao mapema kufuatia kero ya fisi wanaowahangaisha. Fisi hao wanatoka katika Mbuga ya Wanyama ya Longonot. Aidha, sehemu kubwa katika Shirika la Huduma za Wamyamapori Nchini (KWS) iliyoko karibu na mji wa Naivasha, ambayo vilevile inatumika kama hifadhi ya wanyama pori […]