Na JANET KAVUNGA MOMBASA MJINI MWANADADA wa hapa anajuta kufukuzwa na mumewe bila chochote alipogundua alizini kisha mpango wake wa kando akaingia mitini. Kwa sasa mwanadada huyo yuko katika njia panda kwa kuwa hata marafiki zake walimtenga baada ya kufukuzwa na mumewe. Kwa wiki moja alilazimika kulala katika chumba cha hoteli akijaribu kumtafuta mpango wake […]