MALINDI MJINI Na JANET KAVUNGA BAROBARO wa hapa alimkemea mumama mmoja kwa kumrushia mistari ya mapenzi licha ya umri wake kuzidi wa mama yake. Jamaa ambaye ni meneja katika hoteli moja ya kitalii mjini hapa alichoshwa na jumbe za mara kwa mara kutoka kwa mama huyo akimweleza anavyomtamani. Juzi, jamaa aliamua kumkomesha mumama huyo na […]