
Meli tano zatia nanga Bandari ya Kilwa
LINDI: Mwaka 2024 umeanza kwa rekodi ya ufanisi wa hali ya juu katika kupokea watalii wanaotumia Bandari ya Kilwa ambapo kwa mwezi Februari pekee, meli tano za watalii zimetia nanga bandarini hapo na kuhudumiwa. Bandari ya Kilwa iliyopo Kilwa Masoko mkoani Lindi, imeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa watalii kutoka Mataifa mbalimbali ambao wanaendelea kuwasili Nchini … The post Meli tano zatia nanga Bandari ya Kilwa first appeared on HabariLeo.













































