NA WINNIE ATIENO SERIKALI imetangaza mikakati ya kuimarisha utalii wa kimataifa katika eneo la Pwani hasa ikilenga raia wa Italiano ambao hukita kambi katika miji ya kitalii ya Malindi na Watamu. Waziri wa Utalii Bw Alfred Mutua amesihi washikadau wa sekta ya utalii kuwekeza kwenye sekta hiyo ili watalii wengi wamiminike Pwani ya Kenya. Utalii […]