Na WAANDISHI WETU “Nimepoteza mbuzi 15 na ng’ombe wanane kutokana na mafuriko. Ilinibidi kuondoka nyumbani kwangu kuokoa maisha yangu na wajukuu wangu sita,” anasema Fathma Sawen, 81, mwathirika wa mafuriko kutoka kijiji cha Bandi huko Tana Delta. Ajuza, Sawen anasema ana bahati ya kuwa hai pamoja na wajukuu wake ambao pia alifanikiwa kuwaokoa mbuzi wawili […]