NA ELIZABETH OJINA ENEO la Hippo Point ni mojawapo ya vivutio vikubwa vya utalii jijini Kisumu. Kwa wanaopenda kutazama jua likizama jioni na wale wanaopenda kutazama viboko wakiogelea katika Ziwa Victoria, eneo hili huwa murwa kabisa. Ni eneo ambalo hufurika wapambe haswa nyakati za wikendi na misimu ya sherehe. Jumamosi na Jumapili hujaa watu huku […]