NA NDUBI MOTURI KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Economic Freedom Fighters (EFF) Julius Malema amedai hatua ya Rais William Ruto ya kuonyesha mwegemeo kwa Israeli inapokabiliana na kundi la Hamas katika ukanda wa Gaza inakiuka umajumui wa Afrika almaarufu ‘Pan-Africanism’. Bw Malema ambaye amekutana na viongozi vijana katika hoteli ya Serena, amesema Ijumaa […]