
Maafisa uhifadhi 16 wa wizara ya maliasili wapatiwa mafunzo ya uhifadhi nchini china
Maafisa 16 wa Uhifadhi kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii , Idara ya Wanyamapori Makao Makuu Dodoma, NCAA, TANAPA, TAWA na Mweka -CAWM wanahudhuria Warsha ya Mafunzo ya Uhifadhi Wanyamapori (Seminar in wildlife conservation ) nchini China, katika Chuo Cha National Academy of Forestry and Grassland Administration kuanzia tarehe 16 -29 Oktoba 2023. Masuala yatakayofundishwa […]













































