NA JANET KAVUNGA MTWAPA, KILIFI BAROBARO mmoja aliamua kususia kazi ili kuepuka majaribu baada ya mdosi wake mwanadada kumrushia chambo. Jamaa alisema mara si moja bosi wake katika hoteli ya hapa alimuita katika ofisi na kumnyanyasa kimapenzi kwa kumpapasa, kumkumbatia na kumpiga mabusu bila hiari yake. Aliungama kuwa bosi alitisha kumfuta kazi alipokataa mwaliko waende […]