NA KALUME KAZUNGU MIKAHAWA na hoteli zaidi ya 20 zimefungwa huku wachuuzi wa vyakula vya barabarani wakifurushwa vichochoroni katika harakati za serikali ya Kaunti ya Lamu kudhibiti mlipuko wa maradhi ya Kipindupindu unaoshuhudiwa eneo hilo kwa sasa. Karibu watu 16 tayari wamefikishwa hospitalini, ambapo 9 wamelazwa na wengine wakitibiwa na kwenda nyumbani kufuatia maradhi hayo […]