SHABAN MAKOKHA na CECIL ODONGO Kulikuwa na mshangao Jumatano Novemba 29, 2023 baada ya joka kubwa kupatikana kwenye makazi ya kifahari ya bwenyenye wakati ubomozi ulipokuwa ukiendelea katika mtaa wa Milimani, viungani mwa mji wa Kakamega. Mtaa wa Milimani huwa ni wa kifahari kwa kuwa upo karibu na Ikulu ndogo ya Kakamega, Hoteli za Milimani […]