NA LUCY MKANYIKA GAVANA wa Taita Taveta Andrew Mwadime ameitaka serikali kuu kupitisha mpango wa ugavi wa mapato ya mbuga ya Tsavo kufikia Disemba 2023. Hifadhi ya Kitaifa ya Tsavo imekuwa fahari kwa Kenya, ikivutia watalii kutoka kote ulimwenguni. Hata hivyo, hifadhi hiyo imekuwa donda sugu kwa wakazi. Julai 2023, Rais William Ruto aliahidi mpango […]