ELIZABETH OJINA Na CHARLES WASONGA MAKALA ya 60 ya Mashujaa Dei ni kesho Ijumaa, Oktoba 20, 2023, ambapo Kaunti ya Kericho ndiyo itakuwa mwenyeji. Hii ni fursa kwa biashara za hoteli kunoga katika kaunti hiyo, huku ikitarajiwa kwamba wageni wengine watatafuta malazi katika hoteli za kaunti jirani ya Kisumu. Tayari hoteli za hadhi ya juu Kericho […]