Jombi aduwaa binti kumrushia mistari motomoto ya mapenzi

NA JANET KAVUNGA BAMBURI, MOMBASA BAROBARO aliyefika eneo hili kujivinjari, alibaki mdomo wazi kipusa anayefanya kazi katika hoteli aliyokuwa akiishi alipomrushia mistari ya mapenzi bila hofu ya kukataliwa. Jamaa alikuwa ametulia mezani akibugia kinywaji mwanadada huyo alipomjia, akamwamkua kisha akampa ujumbe ambao ulimshangaza. “Kwa kweli siwezi nikaendelea kuficha yaliyo moyoni. Sijui utakavyolichukua hili lakini ujue […]