Na JANET KAVUNGA LIKONI, MOMBASA JOMBI mmoja wa hapa alivunjika moyo hadi akashindwa kula kwa siku tatu baada ya kugundua kwamba mwanadada aliyepanga kuoa alikuwa mke wa mtu. Jamaa alikutana na demu katika hoteli wanakofanya kazi na wakaanza uhusiano wa kimapenzi kwa kuwa mwanadada alimweleza hakuwa ameolewa. Alimwambia jamaa alikuwa akisaka mpenzi watakayefunga pingu za […]