Wadau waambiwa utalii na usafi ni kitu kimoja

Taifa Leo
Published: Sep 27, 2023 11:00:35 EAT   |  Travel

NA KALUME KAZUNGU WADAU wa Utalii, kaunti ya Lamu wamejitokeza kusafisha fuo za Bahari Hindi kuadhimisha Siku ya Utalii Duniani. Siku ya Utalii Duniani huadhimishwa tarehe 27 Septemba ya kila mwaka ambapo kila nchi mwanachama wa Shirika la Utalii Duniani husheherekea siku hiyo. Wadau hao wakiongozwa na Waziri wa Utalii, kaunti ya Lamu, Aisha Abdallah […]