NA MERCY KOSKEI MWANAHABARI wa masuala ya kisiasa wa runinga ya Citizen, Stephen Letoo alimwandalia mtangazaji mwenzake Chemutai Goin sherehe ya kukata na shoka kuadhimisha siku maalum ya kuzaliwa kwake. Bw Letoo alimpeleka Chemutai kwenye hoteli moja maarufu Ngong Road, Kaunti ya Kajiado ili kusherehekea siku yake maalum kuingia duniani, pamoja na marafiki. Mama huyo wa […]