Utalii Lamu unavyoyumbishwa na mfumko wa bei ya mafuta ya petroli

NA KALUME KAZUNGU WATALII na wageni wanaozuru Pwani ya Kenya, hasa Lamu tayari wameanza kuhisi ugumu wa gharama ya juu ya maisha unaochochewa na ongezeko la bei ya mafuta. Hii ni kufuatia kuongezeka kwa bei ya mapochopocho, hasa yale ya samaki hotelini na mikahawani eneo hilo. Kwa kawaida, bakuli la mlo wa samaki kwenye hoteli […]