NA KALUME KAZUNGU JINA la Mwanahadie Famau linatambuliwa na wengi, hasa katika jamii ya Waswahili Wabajuni wa asili ya Lamu. Ni mwanamke ambaye kaburi lake ndilo linalotambuliwa kuwa la jadi zaidi kisiwani Lamu kwa mujibu wa Halmashauri ya Makavazi na Turathi za Kitaifa nchini (NMK). Likipatikana mtaa wa Mkomani kisiwani Lamu, kaburi hilo linaaminika kudumu […]