Idara ya afya kaunti ya Nairobi yamulikwa kwa kutoa vyeti feki vya wanaotayarisha na kuuza chakula

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 04:48:12 EAT   |  Travel

NA WINNIE ONYANDO IDARA ya afya katika Kaunti ya Nairobi imemulikwa kwa kutoa vyeti feki kwa wafanyabiashara wanaotayarisha na kuuza chakula katika baadhi ya hoteli jijini. Hayo yamefichuliwa mbele ya kikao cha Kamati ya Afya inayoongozwa na diwani wa Mountain View Maurice Ochieng. Idara hiyo inayoongozwa na Suzanne Silantoi, inamulikwa kwa kutoa vyeti feki 580. […]