NA KALUME KAZUNGU NI nadra sana kumpata mtalii, iwe ni wa kike au wa kiume mwambao wa Pwani akizunguka hapa na pale na mja mwenyeji ambaye mavazi yake yanamsawiri kama wa hadhi ya juu. Aghalabu mara nyingi utawapata watalii hao wakitembezwa ufuoni au kujiburudisha hotelini wakiwa pamoja na vijana au wazee ambao mavazi yao na […]