Jinsi Kenya ilivyotumia kongamano kuu la ACS23 kujipigia debe, kuvutia watalii

Taifa Leo
Published: Sep 06, 2023 14:20:21 EAT   |  Travel

NA MARY WANGARI KENYA imetumia fursa ya Kongamano la Afrika la Kuangazia Mabadiliko ya Tabianchi (ACS23) kujipigia debe kama kivutio kikuu cha watalii, na sehemu yenye maeneo ya burudani na historia barani Afrika na duniani kwa ujumla. Kongamano hilo la siku tatu ambalo ni kwanza kabisa la aina hiyo kufanyika barani Afrika lilianza Jumatatu na […]