Wenye hoteli zilizogeuka magofu Malindi waambiwa wazikarabati au zivunjwe

NA ALEX KALAMA GAVANA wa Kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro amewataka wamiliki wa hoteli ambazo ziliporomoka na kusalia kuwa magofu katika mji wa Malindi kuzikarabati upya hoteli hizo la sivyo zivunjwe kabisa. Akizungumza katika ukumbi wa bustani ya Buntwani Waterfront, Gavana Mung’aro alisema serikali ya kaunti hiyo hivi karibuni itatoa muda kwa wamiliki wa hoteli […]